Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 500,000 per month

Aina

Nyumba

Vyumba

2

Maelezo

APARTMENT NZURI YA KUPANGA

#KIMARA SUKA

#Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 8 kutoka Main Road Barabara ni Nzuri Mpaka Getini

• Sebule kubwa
• Vyumba VIWILI vya Kulala na Kimoja Wapo Master
• Jiko Kubwa lenye Makabati
• Public Toilet nzuri ndani
• Heater ya MAJI
• Reserve Tank (DAWASA)

Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU na Mita ya MAJI Dawasa

#Kodi: 500,000 Malipo Miezi 6

Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba

Mawasiliano 0656623510

Wsp 0752436347