Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam

Mbagala, Temeke, Dar Es Salaam
1 month ago
Sh. 300,000 per month
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
2
Huduma na Sifa
Sebule
Dining
Jiko
Public Toilet
Tiles
Sliding Windows
Maelezo
SOLD OUT XXX! Nyumba inapangishwa bei laki 3 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 3 nakuendelea. Nyumba ina rooms 3 vyakulala sitting room, dinning room, jiko, room moja ni master bedroom, public toilet ipo pia, tiliz, madilisha vioo, mafeni juu panga boy yapo, unajitegemea umeme luku yk pamoja na maji pia mita yk, na fensi ipo pia ya parking lakn fensi ni ya sharing watu 2 tu basi. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.
