Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tabata Kinyerezi, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
2
Huduma na Sifa
Maelezo
Stand alone) Nyumba inapangishwa bei 400000 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 6, ina vyumba 3 vya kulala chumba kimojawapo master bedroom, sebule, jiko na public toilet, Location tabata kinyerezi sheli ya esta dar es salaam Calls/whatsapp 0768682919 au 0653233641 Service charge 20000 Au malipo ya dalali















