Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 50,000

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Maelezo

NYUMBA INAUZWA NA BANK,TSHS.50 MILIONI,GOBA-MATOSA.

Kiwanja SQM.1,200.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ipo umbali wa kilomita 1 tu kutoka MATOSA MKWAJUNI.

Vyumba 3 (Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.

________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
________mpg