Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 135,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Maelezo

NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI

<> location kisota

<> nyumba ina jumla ya vyumba vitatu kimoja master sebule dining na jiko

<> nyumba iko ndani ya fence
<> kilometer moja tu kutoka lami

<> ukubwa wa eneo ni SQM 483
✅HATI YA WIZALA

◾️price: Milioni 135
MAONGEZI YAPO

◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837