Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Gizozirolole, Kigamboni, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 185,000,000

Maelezo

NYUMBA KUBWA INAUZWA โ€“ KIGAMBONI GIZOZIROLOLE ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ“ Eneo lipo Kigamboni Gizozirolole karibu kabisa na ofisi za Manispaa ya Kigamboni โ€“ Makao Makuu ya Kigamboni, Dar es Salaam.

โœจ Sifa za nyumba:
๐Ÿ›๏ธ Vyumba 3 vya kulala
๐Ÿ›‹๏ธ Sebule kubwa
๐Ÿฝ๏ธ Dining
๐Ÿณ Jiko
๐Ÿ  Servant quarter yenye chumba, sebule na jiko

๐Ÿ“ Ukubwa wa kiwanja: Square Meter 850
๐Ÿ“„ Kiwanja kimepimwa na kina Hati ya Wizara
๐Ÿงฑ Kimezungushiwa fence tayari
๐ŸŒด Mtaa mzuri na mazingira ya kishua

๐Ÿ“ Umbali muhimu:
โ›ด๏ธ Kilomita 12 mpaka Ferry
๐ŸŒ‰ Kilomita 11 mpaka Darajani
๐Ÿ›ฃ๏ธ Kilomita 1 tu mpaka barabara ya lami

โœ… Eneo linafaa sana kwa wanaofanya kazi Posta, Kariakoo, Bandari, Makumbusho na maeneo ya katikati ya jiji kutokana na usafiri kuwa rahisi na wa haraka.

๐Ÿ’ฐ Bei: Milioni 185 tu
๐Ÿค Bei ni negotiable kwa mnunuzi serious

๐Ÿš— Service charge ya site visit: TZS 30,000

๐Ÿ“ž Call/WhatsApp: +255746407197
๐Ÿ“ฒ Wahi sasa kupanga muda wa kwenda kukagua nyumba hii nzuri sana.

#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidar es salaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment dalalidaressalaam kigamboni dar_es_salaam nyumbainauzwa fyp viral

Matangazo yanayofanana Kigamboni, Dar Es Salaam

Kiwanja kinauzwa Kigamboni Kisota, Dar Es Salaam

Sh. 185,000,000

  • Hati

  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Uzio

Kiwanja kinauzwa Kibada Kigamboni, Dar Es Salaam sqm 800

Sh. 80,000,000

  • Hati

  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara ya Lami

Kiwanja kinauzwa Kibada Kigamboni, Dar Es Salaam sqm 800

Sh. 80,000,000

  • Hati

  • Ardhi Tambarare

  • Karibu na Barabara ya Lami

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam sqm 1000

Sh. 135,000,000

  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Karibu na Barabara ya Lami

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam sqm 1000

Sh. 135,000,000

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Hati

  • Site Visit Bure

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam sqm 700

Sh. 55,000,000

  • Hati

  • Site Visit Bure

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam sqm 660

Sh. 95,000,000

  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Site Visit Bure

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam sqm 660

Sh. 95,000,000

  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Site Visit Bure