Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba Lastanza, Dar Es Salaam

video thumbnail
Goba, Dar Es Salaam
16 hours ago
Sh. 380,000,000

Maelezo

Nyumba mpya ya kisasa inauzwa

Iipo 📍 Dar es salaam. Ubungo. GOBA LASTANZA
▪︎ Karibu na barabara ya Mbezi Beach Masana
▪︎ Inafikika vizuri sana, barabara ya gari MKEKA

▪︎ Ina vyumba vitatu (3) vikubwa, vyote ni MASTA.
▪︎ Ina SERVANT QUARTER na Garden

▪︎ Ipo sehemu nzuri sana, mtaa mzuri na salama.

Eneo SQM 600
BEI: TZS 380 Million (Maongezi yapo)

Full Documents: HATI SAFI ✅️

Tupigie: 0767 891 406 // 0785 682 800

#luganoorealestateagency