Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba Matosa, Dar Es Salaam (600 sqm)
Goba, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 57,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Ukubwa
600 SQM
Barabara ya Karibu
1km
Huduma na Sifa
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
📍SOMA HAPA👉🏿 NYUMBA INAUZWA
goba MATOSA
Ina;
Vyumba 3 vya kulala
kimoja Master
Sebule kubwa
Jiko
ENEO SQM - 600👈
BEI - MILIONI - 57👈
Maongezi yapo
Kilometer moja kutoka barabara ya lami
DALALI PHILIPO 🙏🏿
NB: SERVICE CHARGE NI ELFU 30 BOSS
PIGA SIMU















