Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba Njia Ya Massana, Dar Es Salaam (400 sqm)









Aina
Nyumba
Vyumba
3
Ukubwa
400 SQM
Barabara ya Karibu
1km
Maelezo
✨Nyumba nzuri sana na kubwa ipo karibu na lami inauzwa Ina vyumba vitatu vikubwa kimoja ni masterbedroom, sebule kubwa, dinning , stoo kubwa na jiko lakisasa Lina makabati mazuri sana full Ac & heater
✨Ina matenk ya maji, Cctvs cameras, mlinzi na parking kubwa
✨Documents: Ina hati miliki
✨Ukubwa wa Eneo sqmt 400
✨Location: Goba -njia y massana(Dakika moja tu kwa Mguu kutoka lami)
✨Bei million 295 (maongezi yapo)
🙏🏽karibu sana boss wangu fanya kazi na madalali tuonaotambulika kisheria hepuka matapeli , ofisi zetu zinapatikana nyuma ya Skycity mall
🙏🏽kwa mawasiliano zaidi tupigie:0684561351















