Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kerege Manofu, Pwani (800 sqm)

Kerege, Bagamoyo, Pwani
25 days ago
Sh. 120,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Ukubwa
800 SQM
Huduma na Sifa
Chumba cha Msaidizi
Hati
Karibu na Barabara ya Lami
Maelezo
Nyumba inauzwa milion 120
Ina square mita 800
Inavyumba 3 na baikota Moja inahati safi ya wizara location kerege manofu nyumba lami
