Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibada Chekechea, Dar Es Salaam (700 sqm)

Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
3
Ukubwa
700 SQM
Barabara ya Karibu
1km
Maelezo
NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI, KIBADA CHEKECHEA
Fursa nzuri ya kumiliki nyumba katika eneo linalokua kwa kasi, linalofaa kwa makazi na uwekezaji.
📍 Mahali: Kigamboni – Kibada Chekechea
📄 Documents: Sales Agreement
Sifa za Nyumba:
✅ Vyumba 3, vyote Master
✅ Sebule kubwa
✅ Dining
✅ Ukubwa wa kiwanja: SQM 700
✅ Nyumba imekamilika kwa takribani 70%, hivyo mnunuzi ana nafasi ya kuimalizia kwa mtindo anaoupenda.
Umbali:
📍 Kilometa 1 kutoka barabara ya lami
📍 Kilometa 9 kutoka Ferry
📍 Kilometa 8 kutoka Daraja la Nyerere (Kigamboni)
💰 Bei: TZS Milioni 55 (Mazungumzo yapo)
📞 Wasiliana nasi: 0769 554 221
📍Service Charge 30,000
#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio















