Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibada, Kigamboni, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 140,000,000

Maelezo

🏑 NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI KIBADA, DAR ES SALAAM

βœ… Eneo: Sqm 600 (limepimwa na Halmashauri)
βœ… Vyumba 3 vya kulala
βœ… Sebule kubwa
βœ… Dining
βœ… Jiko
βœ… Vyoo vya kisasa
βœ… Nyumba nzuri na imara, tayari kwa kuhamia

πŸ“ Ipo mita 150 tu kutoka barabara ya lami.
πŸ“ Takribani km 5 hadi Ferry na km 4.5 hadi Daraja la Nyerere.
πŸ“ Eneo tulivu lenye huduma zote muhimu za kijamii.

🏠 Inafaa kwa makazi ya familia au uwekezaji.

πŸ’° Bei: TSh Milioni 140 (Mazungumzo yapo.)

πŸ“ž Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na kupanga kutembelea nyumba.

πŸ’Ό Service Charge: TSh 30,000

πŸ“² Instagram: @dalali_kigamboni_plots_forsale

#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidaressalaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment fyp

Matangazo mengine Kigamboni, Dar Es Salaam