Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaga/Kinyerezi, Dar Es Salaam (400 sqm)

Kinyerezi, Ilala, Dar Es Salaam
5 hours ago
Sh. 50,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
1
Ukubwa
400 SQM
Barabara ya Karibu
1km β Barabara ya Lami
Huduma na Sifa
Tiles
Makabati
Jiko
Dining
Sebule
Stoo
Maelezo
NYUMBA YA VYUMBA 3,INAUZA BANK,TSHS.50 MILIONI,KIBAGA/KINYEREZI.
Ni jirani na Daraja la KIBAGA.
Umbali wa kilomita 1 kutoka Barabara ya Lami.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba 4 ( Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko,
Dining-room, Store na
Choo cha Familia ndani.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
______________jj
