Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha Kwa Kipofu, Pwani (300 sqm)

video thumbnail
Sh. 30,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Bafu

2

Ukubwa

300 SQM

Barabara ya Karibu

1km — Morogoro Road

Huduma na Sifa

Sebule
Jiko
Dining
Stoo
Public Toilet
Umeme

Maelezo

NYUMBQ YA VYUMBA 3,TSHS.30 MILIONI,KIBAHA KWA KIPOFU.

Hii nyumba ipo umbali wa kilomita 1 kutoka Barabara ya Morogoro.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

Vyumba 3 (Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.

Huduma za Umeme na Maji zipo.

________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

________________mpg