Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha Kwa Matias, Pwani (800 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
MABOSS WANGU MUJE NIWAUZIE NYUMBA IZO NZURI SANA ZIPO KIBAHA KWA MATIAS MKOA WA PWANI WILAYA YA KIBAHA KUTOKA BARA BARA KUU YA MOROGORO LODY NI DAKIKA 6 TU
BEI NI KITONGA KABISA MWENYEWE ANA SHIDA SANA ANA ZIUZA ZOTE MBILI KWA PAMOJA TSH MIL 48 TU
NYUMBA KUBWA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET
INA MAJI NA UMEME UPO WA LUKU ENEO SQUARE MITER 800
INA DOCUMENTS ZOTE ALALI ZA OFFICE YA SILIKALI YA MTAA
NA IYO NYUMBA YA UWANI INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA NA SEBULE NA FREM MBILI ZA MADUKA
NYUMBA IPO NDANI YA FENS
GARI NDOGO KIBAO ZINA INGIA NDANI
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 🇹🇿 0652 618 143 🇹🇿 0759 203175 📞















