Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibaha, Pwani (1000 sqm)

Kibaha, Kibaha CBD, Pwani
17 hours ago
Sh. 40,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Ukubwa
1000 SQM
Barabara ya Karibu
4km — Barabara ya Morogoro
Huduma na Sifa
Hati
(Fence) Ukuta
Tiles
Makabati
Makabati ya Jiko
Stoo
Maelezo
NYUMBA YENYE HATI,VYUMBA 3,TSHS.40 MILIONI,KIBAHA.
Nyumba ipo umbali wa kilomita 4 kutoka Barabara ya Morogoro.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,000
Umiliki ni HATI (Title Deed) ys Wizara.
Nyumba Imejengwa kisasa.
Vyumba 3 (Masta 1) Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Vilevile kuna Banda la vyumba 2 lakumalizia Ujenzi.
Ipo ndani ya Ukuta pande 3 bado kumalizia upande mmoja.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_____________kvD
