Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibamba Hospital, Dar Es Salaam (700 sqm)

Aina
Nyumba
Vyumba
3
Ukubwa
700 SQM
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA INAUZWA KIBAMBA HOSPITAL
BEI : MILIONI 85 📌
Maongezi yapo
ina vyumba Vitatu vyakulala kimoja Master
Subule kubwa
Daingi room
Jiko
Stoor
Pia ina Servant cotter
Ya chumba sebule
Na jiko
Ukubwa wakiwanja
Sqm 700📌
Usafili pkpk 1000 📌
Adi site
PIGA SIMU: 0672 673363 / 0763 219307















