Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibamba Shule Kibwegere, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
3
Ukubwa
400 SQM
Barabara ya Karibu
4km
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA INAUZWA KIBAMBA SHULE KIBWEGERE SEC. DSM
Eneo sqm 400
Vyumba 3 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa jiko na public toilet
Bei Mil. 45 maongezi yapo
Nyumba inamaji na umeme
Umbali KM 4 Barabara ni lamiiiiii
Kupelekwa kuona nyumba 25,000/=
O719969102















