Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Darajani, Dar Es Salaam

Maelezo
NYUMBA INAUZWA -
KIGAMBONI DARAJANI “
• Eneo: Kigamboni Darajani, Dar es Salaam
E Vyumba 3 vya kulala
Sebule kubwa
Dining room
Q Jikoni
4 Umeme tayari
3 Maji yapo
Tayari kuna bati na plandering
Nyumba imezungushiwa fensi
Pia kuna frame 1 ya biashara
& Nyumba imebaki finishing chache sana kumalizia na
kuhamia moja kwa moja.
* Ipo kwenye mtaa mzuri sana na moja ya maeneo yenye
thamani kubwa Kigamboni.
* Bei: Milioni 75 tu
• Mazungumzo kidogo yapo
& Call/WhatsApp: 0628505896 & 0763954837
ESE Service Charge: TZS 30,000















