Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Fanicity, Dar Es Salaam (400 sqm)

 media -1
media -1
Sh. 25,000,000

Huduma na Sifa

Hati
Karibu na Barabara
Finishing Of Construction
Government Street Deed

Maelezo

πŸ”₯ BOMA LINauzwa – KIGAMBONI FANICITY πŸ”₯🏑

πŸ’Ž FURSA NZURI YA KUMILIKI BOMA KATIKA ENEO ZURI!

Boma linauzwa Kigamboni – Fanicity, likiwa katika eneo zuri, tulivu na lenye mazingira mazuri. Boma lipo kwenye hatua ya finishing ya kupaua, hivyo mnunuzi ana nafasi ya kulimalizia kwa mtindo anaoupenda.

✨ SIFA ZA BOMA:
βœ… Vyumba 3
βœ… Chumba 1 Master
βœ… Sebule
βœ… Dining
βœ… Jiko
πŸ—οΈ Lipo kwenye hatua ya finishing ya kupaua
πŸ“ Ukubwa wa Kiwanja: SQM 400
πŸ“„ Nyaraka: Hati ya Serikali ya Mtaa

πŸ“ UMBALI:
πŸš— Kilomita 1 kutoka barabara
⛴️ Kilomita 12 kutoka Ferry
πŸŒ‰ Kilomita 11 kutoka Kigamboni Darajani

πŸ’° BEI: TZS MILIONI 25
🀝 Mazungumzo kidogo yapo.

πŸ”₯ FURSA YA KIPEKEE:
Unapata boma lenye vyumba 3 kwenye kiwanja cha SQM 400, kisha unalimalizia kwa design na finishing unayoipenda.

πŸ“ž 0769 554 221
πŸ“Service Charge 30,000

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio

Matangazo mengine Kigamboni, Dar Es Salaam