Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Kibada Mwela, Dar Es Salaam (500 sqm)

Maelezo
🏡 NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI KIBADA MWELA
Nyumba nzuri na ya kisasa inauzwa, ipo eneo tulivu na lenye maendeleo mazuri.
✨ Maelezo ya Nyumba:
* Vyumba 3 (2 Master)
* Sebule kubwa
* Dining
* Jiko la kisasa
📐 Ukubwa wa Kiwanja:
* SQM 500
📄 Umiliki:
* Full Title Deed (Hati halali kabisa)
💰 Bei:
* Milioni 130 (Mazungumzo yapo)
🌟 Sifa za Ziada:
* Kisima cha maji (hakuna shida ya maji)
* Nyumba tayari kwa kuhamia
* Full paving (mazingira nadhifu)
* Service charge: 30,000
📞0769-552-221
#trendingvideo #istagram #tanzania #realestateforsale #trendingsongs















