Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Kijichi Mwema, Dar Es Salaam (800 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
🏢 GOROFA LA KISASA LINAZUNGUMZA LENYEWE – KIGAMBONI KIJICHI MWEMA 🔥
✨ Gorofa jipya, la kisasa na lenye mvuto wa hali ya juu sana! Linafaa kuishi au kuingiza kipato kwa kupangisha.
📍 LOCATION: Kigamboni – Kijichi Mwema (karibu na Daraja la Mtaanzani), Dar es Salaam
📏 UKUBWA: Sqm 800 (limepimwa & approved)
🛏️ VYUMBA:
• Vyumba 3 vya kulala
• Vyumba 2 ni master (self-contained)
🛋️ SEHEMU NYINGINE:
• Sebule kubwa
• Dining
• Jiko la kisasa
🏗️ SIFA ZA GOROFA:
• Design ya kisasa (modern finishing)
• Limekamilika kabisa ✔️
• Linavutia sana (muonekano wa juu)
• Eneo zuri na tulivu
• Rahisi kufikika 🚗
• Linaweza kupangishwa au ukaishi mwenyewe
💰 BEI MPYA: TZS 250,000,000 (Milioni 250 tu)
❌ Ilikuwa: Milioni 350
🔥 Punguzo kubwa – fursa ya kipekee!
📞 Call/WhatsApp: +255746407197
💸 Service Charge: 30,000 TZS (Site Visit)
#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidar es salaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment dalalidaressalaam gorofalinalouzwa kigamboni fursa















