Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kiluvya Kwa Komba, Dar Es Salaam (700 sqm)

 media -1
media -1
Sh. 50,000,000

Huduma na Sifa

Maelezo

NYUMBA YA KUMALIZIA KIDOGO TU,VYUMBA 3, TZS.50 MILIONI,KILUVYA KWA-KOMBA.

Ipo umbali wa wastani wa kilomita 1.5 kutoka Barabara ya Morogoro.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 700.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

Ina vyumba 3 (Masta 1)
Pia Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.

WAHI BEI HII NI RAFIKI NA SABABU NI KUWA INAUZWA KWA DHARULA.

________________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.



_______________Ambx

Matangazo mengine Kiluvya kwa Komba, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kiluvya Kwa Komba, Dar Es Salaam (700 sqm)

Sh. 50,000,000

For Sale3 beds700 sqmhouse
Kiluvya kwa Komba, Dar Es Salaam
General BROKER (*DALALI*)