Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kiluvya Madukani, Pwani (1500 sqm)

Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
2
Ukubwa
1500 SQM
Barabara ya Karibu
4km
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA MPYA INAUZWA KILUVYA MADUKANI KWA OMARY
Vyumba 3 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa jiko na public toilet
Pia kuna servant corter ya chumba kimoja na choo
Eneo ni sqm 1500
Bei Mil. 100 maongez yapo
Umbali KM 4 Tu bajaji mpaka site
Site visit 25,000
Piga simu 0711258592















