Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara Suka, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 115,000,000

Huduma na Sifa

Umeme
Maji
Inajitegemea
Hati
Kitchen Cabinets

Maelezo

NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAUZWA MILIONI 115 MAONGEZI YAPO

šŸ’„ NYUMBA HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.5 HADI KWENYE NYUMBA

NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
PARKING
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24

BEI NI 115 MILIONI

DOCUMENT NI HATI SAFI YA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA

KUPELEKWA SITE KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 30 simu au

Danny_dalaly

danny_dalali_wa_vyumba_kimara

@danny_dalali_wa_vyumba_kimara

View Listings
Danny_dalaly