Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam (300 sqm)

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 28,000,000

Aina

Nyumba

House for sale in Kimara

Vyumba

3

3 bedroom House for sale in Kimara

Ukubwa

300 SQM

Barabara ya Karibu

3.5km β€” Morogoro Road

Huduma na Sifa

Mpya
Finishing Required

Maelezo

NYUMBA NZURI SANA INAUZWA
BADO MPYAA πŸ”₯πŸƒπŸ»β€β™‚οΈ
INAUZWA
KIMARA TEMBONI


BEI: MILIONI: πŸ‘‰πŸΏ 28
MAONGEZI KIDOGO YAPO.
___________________

NYUMBA HII INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
SEBULE SAFI
PUBLIC TOILET
JIKO SAFI

UKUBWA WA ENEO SQM 300
_______________

UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3.5

NYUMBA HII MPYA IPO KARIBU SAANA NA BARABARA YA MTAA INAYOELEKEA KINYEREZI.

NA PIA, NYUMBA HII INAHITAJI KUFANYIWA UMALIZIAJI MDOGO SAANA ILI UWEZE KUHAMIA, KUWEKA TILES, KUINGIZA UMEME NA MAJI, KUJENGEA HIZO SINK ZA VYOO PAMOJA NA RANGI UKIPENDA...

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ”ΈKARIBU SANA πŸ”ΈπŸ˜οΈ

##
##

DALALI LYIMO KIMARA

dalal_lyimo_kimara_korogwe

@dalal_lyimo_kimara_korogwe

View Listings

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Kimara Kibamba, Dar Es Salaam (2500 sqm)

Sh. 1,800,000,000

For Sale8 beds2,500 sqmhouse
Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Kimara Kibamba, Dar Es Salaam (2500 sqm)

Sh. 1,800,000,000

For Sale8 beds2,500 sqmhouse
Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Kimara Kibamba, Dar Es Salaam (2500 sqm)

Sh. 1,800,000,000

For Sale8 beds2,500 sqmhouse
Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Kimara, Ubungo, Dar Es Salaam (2500 sqm)

Sh. 1,800,000,000

For Sale8 beds2,500 sqmhouse
DALALI LYIMO KIMARA