Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kiseke, Mwanza (600 sqm)
Kiseke, Mwanza
2 months ago
Sh. 90,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA INAUZWA KISEKE
-ina vyumba vitatu vya kulala ( kimoja ni self contained), sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-ukubwa wa kiwanja ni 30x20=600sqm
-ina hati miliki ya wizara
-bei Tsh Milioni 90
☎️















