Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kishili ya Fuma, Mwanza (600 sqm)
Kishili, Mwanza
4 hours ago
Sh. 12,000,000
Maelezo
MWANZA, njoo na ml 12 kesh tumalize aishuki apo ata kidogo niya kuchukua tu imeshuka sana, ipo mwanza kishili ya fuma gila vyumba 3 vya kulala nk eneo 30 kwa 20, ukifika bei pg sim Moja tu


