Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Madale Flamingo, Dar Es Salaam
Maelezo
🔥 HOUSE FOR SALE | MADALE FLAMINGO 🔥
Kama unatafuta nyumba iliyonyooka, ya kisasa na yenye muonekano wa kibabe, hii hapa imeingia sokoni! Ipo kwenye mtaa mzuri na tulivu sana.
🔥 PRICE DROP! BEI IMEPUNGUA! 🔥
💰 Bei ya Mwanzo: TSh 380,000,000/=
💰 Bei ya Sasa: TSh 350,000,000/= (Fixed Price / Bei ya Mwisho kabisa)
📍 LOCATION: Madale Flamingo
📐 UMBALI:
* Mita 50 tu kutoka barabara ya lami ya mtaani.
* Mita 500 kutoka barabara kuu ya lami (ya kuelekea goba tegeta nyuki).
✨ SIFA NA MPANGILIO WA NYUMBA:
* 🛏 Vyumba 3 vya Kulala: Vyumba 2 vyote ni Master Bedrooms za kishua.
* 👗 Walk-in Closet: Chumba cha Master kina makabati ya gharama yaliyozunguka eneo lote la closet.
* 🛋 Sebule Kubwa & Dining Area: Na decoration ya ndani iliyonyooka na ya kisasa.
* 🍽 Jiko Kubwa: Limesukwa na makabati ya kisasa kabisa ya gharama kubwa.
* 🛁 Public Toilet: Choo cha familia/wageni cha kueleweka.
* 🧱 Nyumba imesimama, imepangiliwa vizuri na haina gharama yoyote ya ziada ya ukarabati.
—
📲 MAWASILIANO NA INSPECTION:
Piga / WhatsApp: 0743688011
Follow: dalalimbezibeach_ibra
👉















