Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala Chamaz, Dar Es Salaam (450 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
Njoo boss wangu nkuzie hii nyumba kalli sana Ina uzwa tsh mil 75 tu
Ipo mbagala chamaz jiji la dar es salaam wilaya ya temeke kata ya chamaz mtaa wa dovya Ina vyumba vya kulala vitatu vyumba viwili ni masters bedroom ina stting room na dainingi room na jiko pamoja na public toilet ina maji na umeme upo wa luku Ukubwa wa eneo sqmt 450
Ina documents ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
Kwa maelekezo zaidi nipigie CM au nicheki WhatsApp ๐น๐ฟ 0759 203175 0652 618 143 ๐น๐ฟ















