Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam (400 sqm)
ID: 260819R4J5K








Chamazi, Dar Es Salaam
1 month ago
Sh. 45,000,000
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba Inauzwa Million 45
Ipo Mbagala Chamazi wilaya ya temeke dsm
✔️Ina Vyumba Vitatu Kimoja Master
✔️Sebule
✔️Jiko
✔️Choo Public
✔️Ndani Ya Fence
✔️ukubwa wa kiwanja SQM 400
✔️Umeme maji tiles jipsam
✔️Unatembea tu hadi stendi
✔️Gari moja hadi mjini
✅️Ina hati halali.. malidhiano serikali ya mtaa // Mwanasheria
☎️O712058357















