Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam
ID: 260819BUVZD






Chamazi, Dar Es Salaam
21 days ago
Sh. 48,000,000
Maelezo
Nyumba inauzwa mbagala chamazi kwa Dumba wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.
Bei milioni 48,000,000/=
Nyumba ina vyumba vi tatu, sitting room na jiko.Karibu Nyumba hii pamoja na nyengine za bei tofauti tofauti.
Bei yake shilingi milioni 48
Kwa maelezo zaidi nipigie kwenye namba
Call/WhatsApp















