Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mjimwema, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 160,000,000

Huduma na Sifa

Tiles
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara
Jiko
Dining
Sebule

Maelezo

๐Ÿก NYUMBA MPYA INAUZWA โ€“ KIGAMBONI MJIMWEMA

Unatafuta nyumba ya kisasa iliyo katika eneo zuri kwa makazi au biashara? Hii ni fursa yako!

โœจ Sifa za Nyumba:
โœ… Vyumba 3 vya kulala, vyote Master
โœ… Sebule kubwa
โœ… Dining
โœ… Jiko la kisasa
โœ… Ipo katika hatua ya finishing na utakabidhiwa ikiwa imekamilika kabisa
โœ… Eneo la kiwanja: SQM 400
โœ… Inagusa barabara ya mtaa โ€“ inafaa kwa makazi na biashara
โœ… Mazingira mazuri, salama na mtaa uliopangwa vizuri

๐Ÿ“ Umbali:

* Mita chache kutoka barabara ya lami
* Kilomita 9 kutoka Ferry
* Kilomita 8 kutoka Daraja la Nyerere

๐Ÿ’ฐ Bei: TZS Milioni 160
๐Ÿค Mazungumzo yapo.

๐Ÿ“ž 0769554221
๐Ÿ“Service Charge 30,000

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio

Matangazo mengine Mjimwema, Dar Es Salaam