Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mjimwema Kibugumo, Dar Es Salaam (400 sqm)

video thumbnail
Sh. 73,000,000

Huduma na Sifa

Maji
Paving Blocks
Karibu na Barabara ya Lami
Kisima
Dining
Jiko

Maelezo

🏑 NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO 🏑

Unatafuta nyumba nzuri ya kuhamia mara moja? Hii ni fursa yako!

βœ… Vyumba 3 (Kimoja Master)
βœ… Sebule kubwa
βœ… Dining
βœ… Jiko la kisasa
βœ… Eneo la nyumba: Sqm 400
βœ… Paving Block
βœ… Kisima cha maji
βœ… Nyumba imekamilika na ipo katika mazingira mazuri na tulivu

πŸ“ Umbali
β€’ Kilomita 1 kutoka barabara ya lami
β€’ Kilomita 5 kutoka Ferry
β€’ Kilomita 7 kutoka Daraja la Nyerere

πŸ’° Bei: Milioni 73
πŸ“ Maongezi yapo kwa mnunuzi makini.

Karibu sana kuja kuona nyumba hii nzuri na kufanya uwekezaji wenye thamani. Karibu sana! 🏠✨

πŸ“ž 0769554221

#trendingvideo #istagram #realestateforsale #tanzania #trendingnow

Matangazo mengine Mjimwema, Dar Es Salaam