Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Picha Ya Ndege, Pwani (700 sqm)

Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA KALI SANA INAUZWA KIBAHA PICHA YA NDEGE TSH MILIONI 90 TU.
==========
π»Ina vyumba vitatu vya kulala, Kimoja ni Master
π»Sebule kubwa
π»Jiko la kisasa
π» Public toilet
π Nje Ina nyumba nyingine (Unfinished) ya chumba kimoja,Sebule na Jiko ya kumalizia tu.
==========
β
Eneo lake lina ukubwa wa Sqm 700
==========
π° BEI MILIONI 90 tu
Maongezi Njoo site
==========
βοΈ Nyumba ni Kali sana ipo ndani ya fence
π Nyumba ipo kwenye barabara ya mtaa
==========
βοΈ Kupelekwa kuona nyumba Tsh 30k
==========
Call/WhatsApp:
#0714972994






