Tafuta
-
-

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Pugu, Dar Es Salaam (500 sqm)

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 99,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

3

Ukubwa

500 SQM

Barabara ya Karibu

300m

Huduma na Sifa

Tiles
Chumba cha Msaidizi
Stoo
Jiko
Seble
Dinning

Maelezo

Nyumba INAUZWA PUGU MIL 99

Vyumba vitatu, master mbil,jiko,seble, dinning, public toilet,stoo, servant couter ya room Moja nje ipo kwenye mtaa mkubwa

Kutoka stand ya daladala mpka ilipo nyumba niumbali wa dakika 10 kw a mguu na Mita 300 kwa vipimo eneo sqmt 500+