Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tabata Kinyerezi Mwisho Kibaga, Dar Es Salaam

Sh. 38,000,000

Maelezo

🏡✨NYUMBA HII INAUZWA TABATA KINYEREZI MWISHO KIBAGA DAR ES SALAAM TANZANIA 🇹🇿

Unatafuta sehemu nzuri ya kujenga makazi yako au kufanya uwekezaji wa apartments? Hiki hapa! 👇

📍 TABATA KINYEREZI MWISHO KIBAGA
🚗UMBALI NI DAKIKA 3 KUTOKA MAIN RAOD

📐 UKUBWA WA KIWANJA NI SQM 320
📑UMILIKI - NYALAKA ZA SERIKALI ZA MTAA

🔴Hii ni fulsa Nzuri sana ya biashara nimekuletea ndugu mteja Mwenye Nia ya dhati ya kuwekeza katika Apartments,nyumba hii ipo Katika mtaa mnzuri sana panalipa hapa ndugu mteja mitaa yake inalusu Kwa biashara ya Apartments Njoo ukalabati nyumba hii Kisha pangisha ule faida kila mwezi.

✅Vyumba 3 Vya Kulala
✅1 Master bedrooms
✅Sebule
✅Dinning Room
✅Jiko safi
✅Stoo
✅Public Toilet

💰 BEI NI 38 million Tu

Fursa nzuri kwa makazi au uwekezaji wa uhakika! 🔥

📞 Muhitaji piga: +255 624 655 493

#Tabata #KiwanjaKinauzwa #DarEsSalaam #RealEstateTanzania dalaliMarikikinyereziApartments Uwekezaji Kiwanja TabataKinyerezi Nyumba LandForSale TanzaniaRealEstat

Matangazo mengine Tabata, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Tabata, Dar Es Salaam

Sh. 1,800,000,000

For Sale8 beds2,500 sqm