Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Tegeta Masaiti, Dar Es Salaam (500 sqm)
Tegeta, Dar es Salaam
23 hours ago
Sh. 290,000,000
Maelezo
Nyumba Inauzwa, Ipo Tegeta Masaiti, Ukubwa wa Kiwanja sqm 500.
Bei Millioni 290 Maongezi
Ina Vyumba 3 vya Kulala, Kimoja ni Master,Sebule, Dining, Kitchen.
Nyumba ina HATI
Wasiliana nami kwa
Service Charge 20,000















