Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Goba, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 1,500,000

Aina

Nyumba

Vyumba

4

Maelezo

Inapangishwa: STAND ALONE

Location :: GOBA MAKONGO ROAD

Bei yake :: 1,500,000Tsh kwa mwezi (Miezi 8)

Muundo wa nyumba;
🌡️vyumba vinne vyote ni Masta)
🌡️Sebule kubwa
🌡️Jiko kubwa sana
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans &
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
Full Ac camera Garden

Call/Whatsapp;
0652 251725