Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

video thumbnail

Aina

Nyumba

Vyumba

4

Maelezo

NYUMBA YENYE VYUMBA 4,TSHS.65 MILIONI MIKWAMBE-CHEKECHEA/KIGAMBONI.

Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

Nyumba Safi ndani ya Fensi na ambayo ipo umbali wa kilomita 1.5 kutoka Barabara ya Lami.

Vyumba 4 (Masta 1)
Pia ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.

______________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+25/ 714 591 548

_______________eryt