Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Wazo, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -3
Sh. 280,000,000

Aina

Nyumba

Vyumba

4

Maelezo

Nyumba inauzwa.
Tegeta, Wazo Mivumoni

Ina vyumba 4 vya kulala, viwili ni master, sitting room, dining, kitchen.
Kuna Servant quarters yenye vyumba viwili, choo na ina jiko la nje.

Umeme wa Luku
Maji ya Dawasa

Bei Million 280
Maongezi yapo.

Nyumba imepimwa bado hati

Ukubwa wa kiwanja SQM 600

Gharama ya kuona
20,000

Wasiliana nami
0718 809 744
0784234971 Dalali Tegeta