Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kibada Block 2, Kigamboni, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Aina
Nyumba
Vyumba
4
Ukubwa
1000 SQM
Barabara ya Karibu
1km
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA NZURI YA KISASA INAUZWA – KIGAMBONI KIBADA (BLOCK 2)
Unatafuta nyumba ya kisasa yenye nafasi kubwa na mazingira mazuri? Hii hapa fursa yako!
Sifa za nyumba:
• Vyumba 4 vyote master
• Sebule kubwa, dining na jiko la kisasa
• Boys quarter 2
• Eneo la kiwanja: SQM 1000
• Hati ya Wizara ipo
.Full Ac /Kisima cha maji
Mahali:
• Kibada Block 2, Kigamboni
• Takribani kilomita 1 kutoka barabara kuu
Bei: Tsh Milioni 450 (mazungumzo yapo)
Nyumba ipo katika eneo tulivu, salama na lenye miundombinu nzuri – inafaa kwa makazi ya kifamilia au uwekezaji.
📞0769-554-221
#trendingvideo #istagram #tanzania #realestateforsale #trendingaudio
✅Viwanja kigamboni
✅Nyumba za kununua kigamboni
✅Viwanja kigamboni inzima
✅Kigamboni,Kibada,Geza,Muongozo,Mjimwema
✅Darajani,Kisallawe ll, Mwasonga,Mikwambe















