Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kibada, Dar Es Salaam (1400 sqm)

Sh. 132,000,000

Maelezo

πŸ”₯ NYUMBA INAUZWA KIBADA – KISARAWE! 🏑

Nyumba nzuri sana inauzwa Kibada, Kisarawe, karibu kabisa na barabara. Eneo kubwa na lenye fursa nyingi kwa makazi na uwekezaji.

πŸ“ Eneo: Sqm 1,400
πŸ“œ Kiwanja kimepimwa na kina hati rasmi
🧱 Ujenzi umefikia takribani 80% β€” imebaki finishing kidogo tu
πŸ›‘οΈ Vifaa/miundombinu ya ulinzi vimewekwa

🏠 Nyumba ina:
πŸ›οΈ Vyumba 4 vya kulala β€” 3 Master
πŸ›‹οΈ Sebule kubwa sana
🍽️ Dining
🍳 Jiko kubwa sana
✨ Vyumba vikubwa na mpangilio mzuri

πŸ’° BEI YA KUTUPA: MILIONI 132 TU!
🀝 Mazungumzo yapo.

πŸ“ž 0699076969
πŸ’΅ Service charge: TZS 30,000

Matangazo mengine Kibada, Dar Es Salaam