Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam (1300 sqm)

video thumbnail
Sh. 200,000,000

Maelezo

🏠 NYUMBA KUBWA INAUZWA – KIMARA TEMBONI,

Nyumba nzuri na kubwa inauzwa ipo Kimara Tembo­ni, umbali wa kilomita 1 tu kutoka barabara kuu. Njia ni nzuri na inafikika kwa urahisi vipindi vyote vya mwaka.
✅ Ina vyumba 4 vya kulala
✅ Sebule kubwa
✅ Dining
✅ Jiko
✅ Huduma zote muhimu zipo – maji na umeme
✅ Eneo la ukubwa wa sqm 1,300
✅ Mazingira mazuri na majirani wazuri
✅ Ipo mjini kabisa, sehemu nzuri kwa makazi ya familia
💰 Bei: TZS 200,000,000
📌 Maongezi yapo kwa mteja mwenye nia ya kweli.
Karibu kuona nyumba.tukae mezani
🚗 Site visit: TZS 25000
Kwa maelezo zaidi kwenda kuona nyumba, wasiliana nasi. 0711258592 au 0764575774

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 90,000,000

For Sale3 beds2 baths400 sqmhouse
Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam (1100 sqm)

Sh. 120,000,000

For Sale2 beds2 baths1,100 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 90,000,000

For Sale3 beds2 baths400 sqmhouse
Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam (1100 sqm)

Sh. 120,000,000

For Sale2 beds2 baths1,100 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kimara Suka, Dar Es Salaam (1775 sqm)

Sh. 350,000,000

For Sale5 beds3 baths1,775 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kimara Suka, Dar Es Salaam (1775 sqm)

Sh. 350,000,000

For Sale5 beds3 baths1,775 sqmhouse