Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kivule-Njiapanda, Dar Es Salaam (470 sqm)

Kivule, Ilala, Dar Es Salaam
5 days ago
Sh. 75,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
4
Ukubwa
470 SQM
Huduma na Sifa
Uzio
Inajitegemea
Mkataaba wa mauziano
Maelezo
NYUMBA KUBWA ,VYUMBA 4,TSHS.75 MILIONI, KIVULE-NJIAPANDA.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 470.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba vyote vinne(4)
Kila kimoja na Choo chake ndani.
Ipo jirani na Kituo cha Daladala na,
Ni Gari moja tu kufika Mjini.
Ipo ndani ya Fensi na ni YAKUHAMIA.
__________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
__________________mskv
