Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbagala, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 65,000,000

Maelezo

NYUMBA YA VYUMBA VINNE(4),TZS.65 MILIONI,RANGI-TATU-MBAGALA.

Nyumba ipo katika Hali nzuri.
Na, Gari inafika vizuri.

Umeme upo na Maji yapo.
Umiliki ni LESENI YA MAKAZI.

Vyumba 4 ( Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.

_______________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

_______________ddKj

Matangazo mengine Mbagala, Dar Es Salaam