Tafuta
-
-

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Tegeta Wazo Kontena, Dar Es Salaam (600 sqm)

 media -1
media -1
Sh. 260,000,000

Maelezo

Nyumba Inauzwa, Tegeta Wazo Kontena
Kutoka lami mita 100

Bei ni Shilingi Milioni 260

Ukubwa wa Kiwanja ni Sqm 600

Ina Vyumba 4 vya kulala, viwili ni Master,Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.

Umeme wa Luku
Dawasa
Parking Space
Paving
Fensi Nzuri

Gharama ya kuona
20000

Wasiliana nami
0718 809 744