Tafuta

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Goba Kulangwa, Dar Es Salaam (1700 sqm)

Sh. 900,000,000

Maelezo

NYUMBA YA GHOROFA INAUZWA GOBA KULANGWA — BEI YA HASARA! 🔥🏠

Mmiliki anahitaji fedha ya haraka, hivyo nyumba hii inauzwa kwa bei ya kipekee. Anayewahi ndiye anayechukua!

📍 Eneo: Goba Kulangwa — takribani km 1 kutoka barabara kuu ya Goba

🏠 Aina: Nyumba mpya ya ghorofa moja
📐 Ukubwa wa kiwanja: SQM 1,700
📜 Umiliki: Ina Hati Miliki (Title Deed)
⭐ SIFA ZA NYUMBA
🛏️ Vyumba 5 vya kulala, vyote Master Bedrooms
⬆️ Ghorofa ya juu: vyumba 3
⬇️ Chini: vyumba 2

🎨 Finishings za ndani zimekamilika na nyumba imepambwa kwa rangi
🛏️ Baadhi ya vitanda vipo tayari
🔨 Imebaki kumalizia vitu vidogo sana vya nje
🌆 Ipo kwenye mtaa mzuri na wa kisasa, uliojengeka vizuri na kuzungukwa na nyumba za kifahari
💰 BEI: TSh MILIONI 900 TU

🤝 Mazungumzo yapo mezani kwa mnunuzi serious.
⚠️ TAHADHARI: Hii ni fursa ya haraka. Mmiliki anahitaji fedha, hivyo usichelewe—anayewahi ndiye anayechukua!
📞 WASILIANA NAMI KWA MAELEZO ZAIDI NA KUONA NYUMBA.

Site Visit 50,000
#
#

dalalismart_tegeta _madale

dalalismart_tegetamadale

@dalalismart_tegetamadale

View Listings

Matangazo mengine Goba, Dar Es Salaam

Nyumba inauzwa Goba, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 120,000,000

For Sale600 sqmhouse
dalalismart_tegeta _madale