Tafuta

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kibada, Dar Es Salaam (1000 sqm)

video thumbnail
Sh. 600,000,000

Huduma na Sifa

Hati
Ardhi Iliyopimwa
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara
Dining Room
Modern Kitchen

Maelezo

🏡 CLASSIC HOUSE INAUZWA – KIGAMBONI, KIBADA 🏡

Je, unatafuta nyumba ya kifahari yenye nafasi kubwa na fursa nyingi za uwekezaji? Hii ndiyo chaguo sahihi!

✨ Sifa za Nyumba:
✅ Vyumba 5 vya kulala, vyote Master
✅ Sebule kubwa
✅ Dining room
✅ Jiko la kisasa
✅ Eneo la SQM 1,000
✅ Kiwanja kimepimwa na kina Hati ya Umiliki

📍 Mahali: Kigamboni – Kibada

* Mita 200 tu kutoka barabara ya lami
* Kilomita 6 kutoka Ferry
* Kilomita 5 kutoka Daraja la Mwalimu Julius Nyerere

🌟 Nyumba ipo katika mtaa mzuri wenye mazingira safi na salama. Inafaa kwa:
✔️ Makazi ya kifahari
✔️ Airbnb
✔️ House Party Venue
✔️ Boutique Hotel
✔️ Uwekezaji wenye faida

💰 Bei: TZS Milioni 600
🤝 Mazungumzo yapo kwa mnunuzi mwenye nia ya dhati.

📞 0769554221

#trendingvideo #istagram #realestateinvestment #realestateagent #tanzania

Matangazo mengine Kibada, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kibada, Dar Es Salaam (1300 sqm)

Sh. 500,000,000

For Sale4 beds1,300 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kibada, Dar Es Salaam (1100 sqm)

Sh. 850,000,000

For Sale4 beds1,100 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kibada, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Sh. 850,000,000

For Sale4 beds1,200 sqmhouse