Tafuta
-
-

Nyumba ya vyumba 6 inapangishwa Kigamboni – Kibada, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 2,000,000 per month

Aina

Nyumba

Vyumba

6

Huduma na Sifa

Bustani
Parking Space
Fence ya Umeme
Uzio
Maji
Luku Inajitegemea

Maelezo

🌟 KASRI / BANGALOW / MANSION YA KIFAHARI INAPANGISHWA – KIGAMBONI KIBADA, DAR ES SALAAM 🌟

✨ Unatafuta nyumba ya hadhi ya juu? Hii hapa ni nafasi yako!

🏡 Sifa za Nyumba:
▪️ Vyumba 6 vya kulala (🛏️ 4 Master Bedrooms)
▪️ Sebule kubwa na ya kisasa
▪️ Dining area ya kuvutia
▪️ Jikoni la kisasa lenye makabati
▪️ Finishing kali: Aluminium, Tiles & Gypsum

🌳 Nje ya Nyumba:
▪️ Garden nzuri na tulivu 🌿
▪️ Paving ya kisasa
▪️ Parking kubwa ya kutosha 🚗
▪️ Electric fence + fence ya uhakika 🔐

💧 Huduma Muhimu:
▪️ Maji safi (hayana chumvi)
▪️ Umeme wa kujitegemea ⚡
▪️ Ina Servant Quarters (SQ)

📍 Location: Kigamboni – Kibada, Dar es Salaam (eneo zuri na tulivu sana)

💰 Kodi: TZS 2,000,000 kwa mwezi

⚠️ Service Charge: TZS 30,000 (Site Visit)

📞 Call/WhatsApp: +255 746 407 197



🔥 Usichelewe! Nyumba kama hii hupatikana kwa nadra sana!

#dalali #dalalikigamboni #dalaliviwanja #kigamboni #kibada nyumbazapangishwa houseforrent luxuryhome mansionlife realestate plotsforsale dar es salaam chatgpthousesforrent googlebesthouseforrent